MKUTANO WA KWANZA WA AIESEC TAWI LA SAUT WAFANYIKA JUMAMOSI HII.

AIESEC ni organization ya kimataifa ya vijana inayojihusha na ugunduzi na uendelazi wa vijana juu ya mwaswala ya uongozi. Ni chama kinachopatikana karibia nchi zote duniani na kinaendeshwa na wanafunzi waliopo katika taasisi za elimu ya juu. Kwa Tanzania AIESEC ipo katika matawi saba ambayo ni AIESEC UDSM, AIESEC SAUT, AIESEC MZUMBE, AIESEC IFM (Inayoundwa na IFM, CBE na DIT), AIESEC TUMAINI, AIESEC MUCCOBS na tawi jipya la AIESEC UDOM.

Interns kutoka Austria na Belgium wakiwa katika kiko cha AIESEC SAUT.

AIESEC SAUT wakicheza pamoja katika kikao hicho.

AIESEC SAUT President Mr. Heri Emmanuel akifanya presentation.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s