KUTOKA UNIVERSITY OF DODOMA-UTARATIBU WA USAFIRI KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA TU.

THE UNIVERSITY OF DODOMA STUDENTS ORGANIZATION
(UDOSO)
OFISI YA MWENYEKITI/RAISI
S.L.P 259
DODOMA, TANZANIA

Email udoso@.ac.tz website http://www.udoso.ac.tz

Kwa wanafunzi wa Mwaka wa kwanza
YAH: UTARATIBU WA USAFIRI KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA TU

Tafadhali husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu. Kutokana na adha ya usafiri katika kipindi cha ufunguzi wa chuo, matatizo mengi yamekua yakiwapata wanafunzi wageni (mwaka wa kwanza) wakati wanapowasili chuo. Baadhi ya matatizo yanayowakumba wanafunzi ni pamoja na yafuatayo:-
a) Uhaba wa mabasi ya kusafiria,hii yatokana na vyuo vingi vya Dodoma kufunguliwa katika kipindi hiki hivyo idadi ya wanafunzi wanaosafiri kuongezeka.

b) Pia wanafunzi wa mwaka wa 2 na 3 wanaofanya mitihani ya Supprementary idadi yao pia ni kubwa hivyo shida katika usafiri kuongezeka.

c) Kuwepo kwa malalamiko ua upotevu wa mali, vyeti na nyaraka muhimu za usajili hivyo kufanya wanafunzi wageni kushindwa kufanya usahili (usajili).

d) Kukosekana kwa nyumba za kulala wageni hii inatokana na kuwa na ugeni mkubwa Dodoma hivyo kuwafanya wanafunzi wageni kusumbuka.

e) Kuwa na ulanguzi mkubwa wa bei ya usafiri wa tax kutoka mjini (Dodoma) hadi chuoni ,hivyo kuwafanya wnafunzi wageni waingie kwenye gharama kubwa.

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA USAFIRI KWA KAMPUNI YA MOHAMMED TRANS KUTOKA MIKOA HUSIKA HADI DODOMAKUTOKA-KWENDA NAULI JINA LA KAMPUNI NAMBA YA WAKALA
DAR ES SALAAM- DODOMA 18,000/= Mohammed trans 0714-169981 0713- 818686

MOROGORO-DODOMA 13,000/= Mohammed trans 0652- 612669

TANGA-DODOMA 23,000/= Mohammed trans 0715-613680

ARUSHA-DODOMA 37,000/= Mohammed trans 0755-751974

MOSHI-DODOMA 31,000/= Mohammed trans 0755-443992

MUSOMA-DODOMA 38,000/= Mohammed trans 0784-566502

MWANZA-DODOMA 35,000/= Mohammed trans 0753-919111

SHINYANGA-DODOMA 29,000/= Mohammed trans 0658-688916

SINGIDA-DODOMA 20,000/= Mohammed trans 0715-8996O5

MBEYA-DODOMA 39,000/= Mohammed trans 0719-403698

IRINGA-DODOMA 29,000/= Mohammed trans 0758-367075

NZEGA-DODOMA 30,000/= Mohammed trans 0788-365656

UTARATIBU WA MALIPO
1. Unatakiwa kulipa nauli kupitia CRDB BANK akaunti nambari 01J2083321200,jina la akaunti STUDENTS UNION.(UDOM BRANCH),malipo hayo yafanywe kabla ya tarehe 10/ 10/ 2011.

2. Tiketi zitatolewa pale tu utakapo wasilisha risiti ya malipo(pay in slip) yako kwenye ofisi ya basi husika, mwisho wa kutoa tiketi ni tarehe 10/10/2011

ZINGATIA
Wanafunzi wote wanapaswa kulipa ada ya uanachama(STUDENTS UNION FEE) shilingi 5000/= ,malipo yafanywe CRDB BANK kwenye akaunti nambari 01J2083321200 jina la akaunti STUDENTS UNION (UDOM BRANCH) ada hiyo ilipwe kabla kuripoti chuoni,tafadhari tunza vizuri risiti ya malipo (pay in slip) yako kwasababu itahitajika kipindi cha usajili.
Kwa mawasiriano piga wakala mkuu 0713 488856, 0788 342222
Imesainiwa na
DEBORA GABRIEL
MWENYEKITI /RAISI UDOSO

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s