WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA TANZANIA WAHUSISHWA NA KUFANYA BIASHARA YA NGONO NCHINI MALAYSIA.

Wanafunzi wa kike wanaosoma nchini Malysia kutoka Tanzania wanajihusisha na biashara ya ngono katika club za usiku jijini Kuala Lumpur nchini Malyisia kimesema chanzo kimoja cha habari. Wasichana hao ambao hutumia majina yanayovutia kama Glory, Sophea, Steffie, Joey, Sarfee, Prescia, Noami or Jim ambapo inasemekana wanafunzi wengi wa kike wa kiafrika wanaosoma ncini humo na kujihusisha na biashara hizo ni wenye miaka kati ya 20 mpaka 30. Wengine ni kutoka nchi za Ghana, Togo, Cameroon, Botswana and Nigeria. Msichana mwenye umri wa miaka 23 alidai kuwa anatoka Tanzania alisema kuwa alikuwa anasoma kingereza kwenye moja ya college mjini humo na amekuwa si mhudhuriaji sana wa club hiyo, “Siji hapa kila siku ila ni pale tu ninapohitaji hela za ziada na company” Alisema.

Wanasubiria Wateja: Wasichana wa Kiafrika wakisubiria wateja wao karibu na nightclub in Jalan P. Ramlee. Hujiuza kati ya RM200 kwa session moja na RM600 kwa usiku mzima katika Hotel yoyote.

Kwa maelezo zaidi tembelea.

http://thestar.com.my/metro/story.asp?file=/2011/9/9/central/9355508&sec=central

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s