BODI YA MIKOPO YATOA MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO FOMU ZAO ZA MIKOPO ZINA DOSARI.

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetoa majina ya wanafunzi wapatao 608 kutoka vyuo mbalimbali ambao fomu zao za maombi ya mikopo zina dosari mbalimbali, wanafunzi 41 hawajambatanisha vyeti vyao vya kuzaliwa na wanafunzi 370 hawajasaini fomu za mkataba wa mikopo. Wanafunzi hao ambao majina yao yamewekwa kwenye tovuti ya bodi ya mikopo wanatakiwa wafike katika osisi za bodi hiyo haraka iwezekanavyo kurekebisha tatizo hilo kwa gharama zao wenyewe,

Aidha bodi ya Mikopo inawataarifu wanafunzi hao kwamba kutakuwa na ucheleweshaji wa mikopo yao kutokana na dosari zilizojitokeza hivyo wanatakiwa kuwa na subira wakati mchakato wa kuandaa mikopo hiyo ikiendelea.

Kwa majina hayo bonyeza link hapo chini.

MAJINA YA WANAFUNZI 608 WENYE MATATIZO KWENYE FOMU ZAO.

MAJINA YA WANAFUNZI 41 WASIOAMBATANISHA VYETI VYA KUZALIWA.

MAJINA YA WANAFUNZI 370 AMBAO HAWAJASAINI FOMU ZAO ZA MIKATABA YA MIKOPO.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s