SAUT WAS BURNING YESTERDAY NIGHT…!!!..IT WAS BORN FIRE..!!!!

Serikali ya Wanafunzi ya SAUT jana ilidhihirisha hisia zao za kuwajali wanajamii ya SAUT pale ilipoandaa moja bonge la party lililomshusha mtu mzima ROMA Mkatoliki kwa ajili ya kuwakaribisha Wanafunzi wa mwaka wa kwanza.

Msanii huo wa Hip Hop nchini Roma Mkatoliki usiku wa jana aliwapagawisha wanafunzi wa SAUT kwa kufanya show ya nguvu pande hizo on “Born Fire” ambayo ni event yakuwakaribisha mwaka wa kwanza  2011/2012  inayofanyika mwanzoni mwa kila mwaka wa masomo. Roma jana alipanda majira ya saa sita za usiku na kuanza kwa Akapela iliyowaacha baadhi ya mashabiki wake wapige kelele kwa kuimba Roma!!! Roma !!!Roma!!!..Roma alimaliza na kibao chake cha Mathematics kilichowaacha mashabiki hoi katika tukio hilo.

Pata matukio yote katika picha…..

Fire was burning....

DJ Mussa kutoka Villa Club ya jijini Mwanza alikuwa ndie DJ wa usiku huo kwenye one 'n' Two...

Ilikuwa ni nyomi mbaya pande zile pale..

Hata Kwetu wapo ..the local Artist in Mwanza akisababisha mbele ya mashabiki huku Msema Chochote Anatory akiwa nyuma yake (mwenye red)..

Msanii PAP 2 on Stage..Mwanafunzi wa SAUT Mwaka wa Tatu.

A Town on Stage...

Roma akipanda jukwaani tayari kuwapagawisha mashabiki...

Roma akiingia jukwaani...yap yap yap yap...

Roma on stage...

Mh. Rais wa SAUTSO nae Swaga zilikuwa on..dah kweli ilikuwa ni siku njema sana kwa wana SAUT...

Wadau wa PR nao walikuwepo pande izo...Kulia ni John Kalipso na ndugu yake Von Don Kisasa a.k.a Unyayo au CEO wa PR SAUT..

Mdau Salum Pamba akiwa na mabeibe kushoto Jacky akiwa na Rose kushoto..swaga ziko on...

Katikati ni Mdau Asha akiwa na Roda kulia pamoja na friend yao..nao walikuwepo pande zile wakishow love..

Wadau wakiwa katika picha ya pamoja wakishow love mwisho wa siku walilove show....

Wadau wakiwa tayari kushuhudia nini kinajiri..

Pracata Tumba,,,,winde winde winde...mdau Alex Mamku naye alikuwepo pande zile pale.

Wana Vibe nao walikuwepo pande zile pale kwa ajili ya kuchukua matukio...

Twende kushoto shoto sho, rudi kulia lia li, cheza kizulu zulu zu...ilikuwa full shangwe aiseee arifu...

Weraaaaa weraaaaa!!!!!!!!

Ivi ni viduku au miduku..zote zilikuwa ni style banaaaa!!!!!!

Haikuwa wanachuo pekee hata wananchi wengine jijini Mwanza walipata time kuparty pamoja,...iyo style hapo kichwani sijui ndo inaitwaje..maana !!!!

Mdau John Kalipso akiwa na mdafada kwenye swaga hatari!!!!

George hapo nyuma unamuonea wivu Unyayo au..!! Haya Bi Joy hapo kushoto nawe mbona umemkumbatia sana Bw. Unyayo..Mbogo Junior hapo kushoto niaje naona una Kili Time moja Baridiii!!!!

Hata kwetu wapooooooo!!!!!!

Wooooowww...was awesome Wadau...that was one to one interview...

ayayayayayayayaya...didi u sii zat!!! zat waz wat waz it.....

Ebwanaaaeeeee!!!Luk at the Guy alivyojikunja...Dah amakweli wanaume tumeumbwa mateso...

Wakuu nao hawakukosekana aiseee..!!!

Mwisho wa siku Nimelewa tilalilaaaaaaa...jamaa alizima hapa aisee..anapatiwa huduma ya kwanza...kumbe sio chai ee..

Advertisements

12 responses to “SAUT WAS BURNING YESTERDAY NIGHT…!!!..IT WAS BORN FIRE..!!!!

  1. Kwl vijana mmejipanga nc pic na mpangilio mzuri wa locatin ya matukio mrope,mahela na wadau wa tzcampusvibe hongeren kwa changamoto mnayoitoa kip it wakuu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s