DUCE WAKUSANYIKA NMB HOUSE DAR KUFUATILIA PESA ZAO ZA MIKOPO.

Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha Elimu Dar es salaam (DUCE) leo walijikuta wakikusanyika katika Makao makuu ya benki ya NMB jijini Dar es salaam katika jengo la NMB HOUSE ili kudai malipo yao ya fedha za mikopo baada ya fedha hizo kuchelewa kuingizwa kwenye akaunti zao.

Akizungumza wakati  wa tukio hilo Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NMB, Bw. Imani Kajula alisema kwamba Alhamisi iliyopita mhasibu wa DUCE alipeleka orodha ya wanaostahili kulipwa lakini baadhi ya majina hayakuwepo hivyo kutakiwa kurekebisha orodha hiyo na alishindwa kufanya hivyo siku ya ijumaa kwani haikuwa siku ya kazi na kupeleka majina hayo leo na baada ya taratibu za kibenki kukamilika malipo hayo yalianza kutolewa saa sita kamili na wanafunzi walipata fedha zao na kuondoka bila matatizo.

Muu wa Masoko na Mwasiliano NMB akiongea na waandishi wa habari baada ya kutokea tukio hilo la Wanafunzi wa DUCE.

Rais wa Wanafunzi hao Msafiri Kidunye akibebwa na wanafunzi wenzake baada ya kushughulikia tatizo lao katika benki hiyo.

CHANZO CHA HABARI HII BOFYA HAPA.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s