MISS KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY-DAR CENTRE KUPATIKANA JUMAMOSI HII.

Serikali ya Wanafunzi ya Chuo cha Kampala tawi la Dar es salaam ipo kwenye maandalizi ya shindano la kumtafuta Miss Kampala University mchuano uatakaofanyika katika Savanna Lounge (Uliopo kwenye jengo Quality Centre, Pugu RD) jijini Dar es salaam jumamosi hii ya tarehe 22 OCTOBA, 2011.

Shindano hilo ambalo litashirikisha walimbwende 12 kutoka chuoni hapo ambao ni wanafunzi litashereheshwa na magwiji wa Muziki wa kizazi kipya Dully sykes na D-nob, huku upande wa burudani ya asili kutakuwa na Ngoma za asili kutoka kwa vijana wa kutikisika(shekrs), Kiingilio katika shindano hilo la kumpata mlimbwende wa chuo hicho zinapatikana Chuoni KIU, CLOUDS FM, JB BELMONT HOTEL, SAVANNA LOUNGE pamoja na KITCHEN HUT (Mlimani City) Ambapo tiketi za VIP ni shilingi 30,000 na viti vya kawaida ni shilingi 10,000.

Walimbwende wa Chuo Cha Kampala Tawi la Dar es salaam wakiwa katika Picha ya pamoja.

 

Baadhi ya Warembo hao wakiwa katika pozi mbalimbali.

 

Mapozi hao yote yatakuwepo Jumamosi hii katika fainali hiyo.

CHANZO CHA HABARI.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s