WASANII CHIPUKIZI WA FILAMU KUTOKA SAUT WAANDAA FILAMU KALI.

Tasnia ya Filamu nchini inaingia katika sura mpya baada ya wasanii chipukizi ambao pia ni wanafunzi kutoka Chuo cha Mtakatifu Agustino wako katika kuandaa na kukamilisha filamu ya kiswahili itakayoitwa ‘JUST OPPORTUNITY’.

  Filamu hiyo inayoongozwa na Amon Moshi mwanafunzi wa Mwaka wa pili shahada ya  uwalimu katika chuo cha Mtakatifu Agustino-Mwanza. Amos ambae pia ni mshiriki katika Filamu hiyo akijulikana kama Derick ameonyesha uwezo mkubwa katika uongozaji na uwigizaji wa Filamu hiyo yenye ambao imewashirikisha wasanii wengine wachanga.

PATA PICHA ZA NYUMA YA PAZIA.

Msanii chipukizi Amos Mosha (Mwenye fulana nyeupe) akiwa na wasanii wengine.

Camera Roll, standby, Camera, Action...MMMMHHHHH cut cut...

Man at work...mchuzi wa damu mwaaaa...


Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s