WANAFUNZI WA SAUT-MWANZA WAFANYA PARTY YA PAMOJA JANA.

Ilikuwa ni katika fukwe za ziwa victoria zinazojulikana kama Royal Sunset & Campsite huko maeneo ya Malimbe, Katika kijiji cha Luchelele ambapo palifanyika FRESHER’S PARTY, japo kulikuwa na wahudhuriaji wachache lakini ilikuwa ni bonge moja la Party.

PATA MATUKIO KATIKA PICHA.

Na viduku navyo vilikuwepo hapo jana pande za Royal Sunset Beach.

Mdau nae hakuwa nyuma katika hili..Dah ilikuwa ni full haikujalisha ulikuwa mrefu au mfupi..

Pinda Mugongo..

Wadau nao walikuwepo pande hizo.

Hizi style nazo zilikuwepo ilimradi tu usimkanyage mwenzio.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s