MISS KIU 2011: JUDITH SANGU AIBUKA KIDEDEA

Mrembo Judith Sangu usiku wa jana aliibuka kidedea baada ya kuwabwaga warembo wenzake katika shindano la kumsaka mlimbwende wa chuo kikuu cha Kampala International University (KIU) Dar es salaam centre..  Mashindano hayo ambayo huandaliwa kila mwaka na serikali ya wanafunzi ya chuo hicho kushirikiana na wadau mabalimbali yalifikia tamati jana katika ukumbi wa Savanna Lounge uliopo ndani ya jengo la Quality Centre Dar es salaam.

Miss KIU 2011, Judith Sangu baada ya kutangazwa kuwa mshindi.

Warembo waliofanikiwa kuingia tatu bora ni Judith Sangu ndiye mshindi(katikati),Martha Kamanyola mshindi wa pili (kulia) na Asha Mohamed mshindi wa tatu(kushoto).

Hii ndiyo tano bora kutoka kuilia ni Fatma Mganga,Zawadi mwambe,Asha Mohamed,Martha Kamanyola na Judith Sangu.

Warembo wote 13 katika shindano la Miss KIU 2011 wakiwa jukwaani.

Miss KIU Judith Sangu akivishwa taji na Miss Tanzania Talent baada ya kutangazwa kuwa mshindi.

Mdau Hashim Lundenga alikuwepo ukumbini hapo kushuhudia mashindano hayo, kulia ni Rais wa Serikali ya wanafunzi KIU.

Majaji wa shindani hilo wakiwa makini, kutoka kushoto ni rico,Hamissa na Shah(chief judge).

VAZI LA UFUKWENI.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s