MSHINDI WAPILI MISS KIU AWEKA MAPENZI YAKE HADHARANI.

Mshindi wa pili katika shindano la kumtafuta mlimbwende wa Kampala International University (KIU) 2011, Martha Kamanyola ameweka mapenzi yake hadharani kutokana na baadhi ya vidume kummendea baada ya mashindano hayo kwasababu ya mvuto aliokuwa nao binti huyo. Martha ambae ni Mwanafunzi wa KIU ameweka mapenzi yake hayo hadharani kwa kusema kuwa yeye anampenzi wake wa siku nyingi na kuwataka wanaommendea kimapenzi wasimfatilie, “Uhusiano wa kimapenzi na Boy wangu ni wa muda mrefu hivyo nampenda sana,wanaume wananaonisumbua waniache nisome ndiyo maana nikaamua kumweka wazi ili watu wasinisumbue”.aliambia blog ya Unique Entertainment kwa njia ya simu.

Martha akiwa na mpenzi wake huyo ambae amewataka wanaume wasimsumbue kwani yupo kwenye mapenzi mazito na mpenzi wake.

Mlimbwende huyo akiwa katika pozi.

Martha Kamanyola mshindi wa pili (kulia), Judith Sangu mshindi wa shindano hilo (katikati), na Asha Mohamed mshindi wa tatu(kushoto) mara baada ya kutangazwa washindi.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s