TUMAINI IRINGA KUFANYA MAHAFALI YA 14 JUMAMOSI HII.

 TANGAZO LA MAHAFALI YA MWAKA 2011

MKUU WA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA TUMAINI – IRINGA, PROFESA NICHOLAS BANGU, ANAWAALIKA WAHITIMU WA MWAKA 2011, FAMILIA ZAO NA MARAFIKI, KUHUDHURIA MAHAFALI YA 14 YA CHUO HICHO YATAKAYOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 29 OKTOBA, MWAKA HUU. MAHAFALI HAYO YATAANZA SAA 3:00 KAMILI ASUBUHI CHUONI HAPO.

MAHAFALI HAYO YATATANGULIWA NA KONGAMANO (CONVOCATION) AMBALO LITAFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 28 OKTOBA KUANZIA SAA 3. 30 ASUBUHI CHUONI HAPO.

MAZOEZI YA MAHAFALI YATAFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 28 OKTOBA, SAA 10.00 JIONI. TAFADHALI WASILIANA NA OFISI YA UHUSIANO KUTHIBITISHA USHIRIKI WAKO.(Tuma meseji) kwa simu namba0767888596. Email- pro@tumaini.ac.tz

WATAKAOKUWA HAWAJATHIBITISHA/HAWAJASHIRIKI KWENYE MAZOEZI HAWATARUHUSIWA KUSHIRIKI KATIKA MAHAFALI. MAJOHO YA MAHAFALI YATAANZA KUTOLEWA WIKI MOJA KABLA YA MAHAFALI

MWISHO WA UANDIKISHAJI WA UTHIBITISHO WA USHIRIKI NI TEREHE 20/10/2011.

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s