EPIQ NATION INTERCOLLEGE BASH YAFANA MBALAMWEZI BEACH.

Jumamosi hii wanafunzi kibao kutoka vyuo mbalimbali walijumuika pamoja katika moja bonge la party lilifanyika Mbalamwezi Beach ambapo EPIQ NATION toka Zantel walitoa shavu la nguvu kuhakikisha party hilo linakuwa moja bonge la party na mwisho wa siku mambo yakawa kama ifuatavyooo…

Cheza kiduku meen

Twende kulia lia lii, twende kushoto shoto shoo, cheza kiduku duku duu...

Dah pande hizo hadi wazungu walikuwa wanapiga viduku..ilimradi kuleta ladha..

Kulikuwa na nyomi moja la hatari pande zile pale..

Dully akiwapagawisha mashabiki wake.

Hakunaga zaidi ya huyu jamaa..najua neno lake la mwisho tu kwenye Hakunaga..Isidaba..ndo aaliyeongea kizulu kwenye hakunaga..Hapo alikuwa akicheza kizulu..

Suma Lee akishow Love kwa mashabiki wake mwisho wa siku mashabiki wakalove show..

Wakati Roma anafanya show mashabiki walikuwa wanampa support ya kutosha..

Roma akishow Love kwa mashabiki wake.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s