MAHAFALI YA 14 YA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, IRINGA (TU,IUCO)

Wahitimu 1062 katika chuo cha Tumaini Iringa jumamosi walipata kutunukiwa shahada zao katika fani mbalimbali nchini kwenye mahafali ya 14 ya chuo hicho. Ambapo wahitimu (74 ) waliotunukiwa shahada ya uzamili katika utawala wa biashara, ( 7) Stashahada ya Uzamili ya Uongozi, ( 3 ) stashahada ya uzamili ya elimu (Ufundishaji) na (18) ni wa stashahada ya uzamili ya elimu (utawala).

Wahitimu wengine na idadiyaokwenye mabano kuwa ni wa shahada ya uandishi habari (35), shahada ya theolojia-Divinity (9), Shahada ya Sheria (172), shahada ya utawala wa biashara (110), shahada ya elimu katika hisabati (82), shahada ya ushauri nasihi (58),

 Shahada ya Maendeleo ya Jamii (205), shahada ya sayansi ya Technolojia ya habari-IT (30) na Shahada ya Athropolojia ya Utamaduni na Utalii (139).Wahitimu wengine waliotunukiwa ni pamoja na wale wa stashahada ya theolojia (14), cheti cha utawala wa biashara (88), cheti cha theolojia (12) na cheti cha sheria (6).

Wahitimu wakiwasili katika viwanja vya chuo hicho tayari kwa mahafali ya 14.

Ndugu, jamaa na marafiki wa wahitmu wakiwa katika viwanja hivyo kuwasindikiza wahitimu hao.

Wahitimu wakiingia katika viwanja hivyo..Hongereni ndugu zetu mlistaihili kupata mlichokipanda.

Kwa mamlaka niliyopewa naomba.....

Wakati wa kwenda kuchukua vyeti uliwadia.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s