ZIARA YA MAASKOFU WALIPOTEMBELEA SAUT MWANZA.

Hapo wakiwa wanatoka kuangalia jengo la Mwanjonde.

Maaskofu wakiangali a Darasa kubwa kabisa kuliko yote la SAUT, Mwanza linalojulikana kama M13 lenye uwezo wa kuchukuwa watu zaidi ya mia saba..

Maaskofu wakiwa katika studio za Radio SAUT iliyopo chuoni hapo kuangalia jinsi uwendeshaji wa vipindi unavyofanyika.

Maaskofu wakiingia katika jengo jipya la Hostel za wasichana linaloendelea kujengwachuoni hapo.

 

Ndani ya jengo maaskofu wakipata maelekezo kutoka kwa Msimamizi mkuu wa ujenzi katika jengo hilo. Hapo ndipo itakapokuwa sehemu ya kupumzikia kwa wakazi na wageni wa hosteli hiyo.

 

Mandhari nzuri ya majengo ya SAUT kutokea Library.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s