TAARIFA YA SIKUKUU YA EID..

Tarehe 6 Novemba 2011, Jumapili ni sikukuu ya Eid El Haji sawa na mwezi 10 Dhul Hijja 1432.

Kwa mujibu wa Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Muhidini Mkoyongore, Swala ya Eid Kitaifa itaswaliwa katika Masjid Al Farouq iliyoko BAKWATA Makao Makuu, kuanzia saa 1.30 asubuhi ikifuatiwa na Baraza la Eid.

Nayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inawatakia waumini wote wa dini ya Kiislam Eid njema na yenye upendo, amani na utulivu.

Advertisements

One response to “TAARIFA YA SIKUKUU YA EID..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s