WASHINDI WA UBUNIFU NA MITINDO WA SHINDANO LA REDD’S UNI-FASHION BASH VYUO VYA KILIMANJARO WAPATIKANA

Mshiriki na Mshindi wa pili kwenye upande wa Mitindo kutoka chuo kikuu cha MUCCOBS aliyejinyakulia kititta cha Tsh 500,000.kwenye Redd's Uni-Fashion Bash akiwa jukwaani katika shindano hilo lililoshirikisha washiriki kutoka vyuo mbalimbali mkoani Kilimanjaro.

Washiriki wa shindano hilo la Ubunifu na Mitindo wakiwa katka picha ya pamoja jukwaani.

Burudani za sarakasi nazo zilikuwepo kufanikisha shindano hilo.

Washiriki wakiwa jukwaani.

Wanafunzi mbalimbali kuotka vyuo vya moshi wakishuhudia tamasha hilo siku ya jumamosi usiku katika ukumbi wa Glaciers-Shant Town.

Washindi wa mitindo na ubunifu wakiwa katika picha ya pamoja mara tu baada ya kutangazwa kuwa washindi katika categories mbalimbali.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s