MIJADALA ISIYO RASMI KUHUSU UPEPO WA KISIASA NCHI YATEKA WANAFUNZI SAUT.

Imekuwa ni Tabia ya wanafunzi wengi wa SAUT mara baada ya kutoka darasani au kabla ya kuingia darasani hupitia hapa kwenye magazeti na kusoma habari, lakini wengi wao husoma vichwa vya habari tu na kuondoka bila ya kununua gazeti. Kisha baada ya hapo huanza kujadiliana mambo mbalimbali yaliyoandikwa kwenye hivyo vichwa vya habari.

Ukimaliza kusoma vichwa vya habari basi unahamia pembeni na wewe kutoa maoni yako kutokana na unachokielewa kwa Hot News za leo.

Mjadala mkali ukiendelea kuhusu habari muhimu za leo..hapo ilikuwa ni siasa tupu..kwamba CHADEMA kafanya hivi..CCM kafanya vile..

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s