WANACHAMA UDOM CHAMBER WAFANYA KIKAO CHAO CHA KWANZA.

Baadhi ya wanachama wa UDOM CHAMBER wakiwa katika kikao hicho.

Waasisi wa Udom Chamber Blog na Group ya Udom Chamber baada ya kikao.,,Kutoka kushoto ni Gerald Muheto,Aremani Kizuguto na Faddy Gaib Linga.

Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho Faddy Gaib Linga akiendesha kikao hicho cha Wana UDOM CHAMBER kilichojadili juu ya mambo mbalimbali yanayohusu kikundi hicho kinachoundwa na Wanafunzi wa Tasnia mbalimbali wanaosoma Chuo Kikuu cha Dodoma.

SOURCE: UDOM CHAMBER BLOG.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s