KUTOKA BUGANDO: MAHAFALI YA NNE YA CHUO HICHO CHA TIBA YAFANYIKA JUMAMMOSI HII.

Chuo kikuu cha Tiba cha Bugando, jumamosi ya wikiendi hii kimefanya mahafali ya nne katika chuo hicho ambapo jumla ya wahitimu 149 walitunikiwa shahada pamoja na stashada mbalilmbali ambapo kati ya hayo idadi ya wahitimu wa kike imeongezeka ambapo wahitimu 51 walikuwa ni wanawake.

Wahitimu wa mahafali hayo wakiwa na furaha baada ya kutunukiwa shahada zao.
Picha maalum ya meza kuu na Dr. Stephen Mshana (wa tatu toka kulia) mhitimu pekee aliyetunukiwa shahada ya uzamivu (PhD) toka Chuo cha Sayansi za Afya Bugando.
Baadhi ya wahitimu katika picha ya pamoja.
Kutoka kulia ni Makamu mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Agustino Rev. Dr. Charles Kitima anaefata ni Rais wa Touch Foundation Bw. Bryan Lowell katika mahafali hayo.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s