KUTOKA UDOM: UHABA WA MAJI WATESA WANAFUNZI COLLEGE OF EDUCATION.

Ndoo zikiwa zimepangwa kusubiria maji huko kwenye Collage of education (COED) leo asubuhi...hali hii ni hatari maana inaweza kusababisha magonjwa ya milipuko..(Kwa hisani ya UDOM CHAMBER BLOG)

Advertisements

One response to “KUTOKA UDOM: UHABA WA MAJI WATESA WANAFUNZI COLLEGE OF EDUCATION.

  1. kwa staili hii na mateso wanayopata hawa wasomi unadhani kesho kutwa wakipata kitengo watashindwa kuwa wahujumu? mwalimu j.k. aliandaa mazingira mazuri kwa wasomi,hivyo hata msomi alikuwa anajiskia aibu kufanya uhujumu kwa sababu ya fadhila alizopewa na serikali yake.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s