KUTOKA UDOM: WANACHAMA UDOM CHAMBER WALA MLO WA MCHANA PAMOJA FREE POINT DODOMA LEO.

Wanachama wa UDOM Chamber,facebook group page member wakipata chakula cha mchana, aidha hii ni moja kati ya faida za mitandao ya kijamii kama Facebook kuweza kuwaunganisha na kuwakutanisha watu ambao walikuwa hawafahamianma lakini kupitia mitanado hiyo wamekuwa wakifahamiana. Hongereni wana UDOM CHAMBER kwa umoja mliouanzisha.

Wanachama wa UDOM CHAMBER wakiwa kwenye mlo huo wa pamoja mchana wa jana.

Wana UDOM CHAMBER katika picha ya pamoja baada ya chakula cha mchana..Picha zote ni kwa hisani ya UDOM CHAMBER BLOG.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s