KUTOKA SUA: TAAARIFA YA MAHAFALI YA 27.

CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO – MOROGORO

TAARIFA YA SHEREHE YA MAHAFALI YA 27 YA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO.
UONGOZI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO UNAWAFAHAMISHA WAHITIMU NA
WANAJUMUIYA WOTE WA CHUO KUWA SHEREHE YA MAHAFALI YA 27 YA CHUO, ITAFANYIKA
IJUMAA TAREHE 25 NOVEMBA, 2011 KAMPASI YA SOLOMON MAHLANGU “NELSON MANDELA
FREEDOM SQUARE” KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI.

SHEREHE HIYO ITATANGULIWA NA SHEREHE YA UTOAJI ZAWADI KWA WANAFUNZI
WALIOFANYA VIZURI SANA KATIKA MASOMO YAO “PRIZE AWARDING CEREMONY” HAPO
ALHAMISI TAREHE 24 NOVEMBA, 2011 “MULTIPURPOSE HALL” KUANZIA SAA 2:00 HADI SAA 4:30
ASUBUHI.

AIDHA, MKUTANO WA MAJALISI YA WANATAALUMA WA SUA YAANI “SUA ANNUAL
CONVOCATION MEETING” UTAFANYIKA SIKU HIYO YA ALHAMISI TAREHE 24 NOVEMBA, 2011
“MULTIPURPOSE HALL” BAADA YA SHEREHE YA UTOAJI ZAWADI, KUANZIA SAA 4:30 ASUBUHI
HADI SAA 6:30 MCHANA..

IMETOLEWA NA OFISI YA UHUSIANO

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s