KUTOKA UDOM: MSIBA, MWILI WA MAREHEMU YOHANA RAPHAEL MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA KITIVO CHA ELIMU WAAGWA LEO.

Wanafunzi wa Kitivo Cha Elimu Wakiwa katika Misa ya Kumuombea Marehemu Yohana Raphael ambaye alifariki dunia hapo jana katika zahanati ya Chuo Kikuu Cha Dodoma mara baada ya Kudondoka ghafla wakati akitoka kula. Mara baada ya kudondoka aliweza kuwahishwa katika zahanati hiyo ya chuo iliyopo kitivo cha sayansi ya jamii, sanaa na lugha lakini kwa bahati mbaya aliwezaa kupoteza uhai wakati kashafika katika zahanati hiyo.

Mwili wa Marehemu Yohana Raphael ambaye alikua ni mwanafunzi wa Mwaka wa 3 aliyekuwa akisomea shahada ya kwanza ya elimu ukiwa umewasili katika kitivo cha elimu tayari kwa wanafunzi na wafanyakazi kuaga mwili na misa ya kumuombea marehemu. Habari Picha kwa niaba ya LUKAZA BLOG.

 TzCampusVibe inawapa pole wale wote waliofikwa na msiba huu na Mungu azidi kuwapa imani kwa kumpoteza rafiki, kijana na mpendwa wetu Yohana Raphael.

MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.. AMEN.

Advertisements

3 responses to “KUTOKA UDOM: MSIBA, MWILI WA MAREHEMU YOHANA RAPHAEL MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA KITIVO CHA ELIMU WAAGWA LEO.

  1. Naungana na familia ya marehemu katika kuomba faraja kwa Mungu kwenye kipindi hiki cha majonzi, Neema ya Mungu itawale wakati wote, amini!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s