KUTOKA UDOM: TATIZO LA MAJI LAENDELEA KUWATESA WANAFUNZI UDOM, WENGI WAJIKUTA WAKICHOTA MAJI KWENYE VYOO VYA CAFTERIA ZILIZOPO CHUONI HAPO.

Hapa ni Chooni, Choo kilichopo katika moja ya kafteria zilizopo kitivo cha sayansi ya jamii, sanaa na lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma ambapo kutokana na shida ya maji inayoikumba kitivo hiki wanafunzi wengi wamekua hawajali wapi maji yanapatikana bali wanachojali wao ni kupata maji.Pichani Ni Moja ya Vifaa vya kuchotea maji ambapo vilikutwa na kamera za LUKAZA BLOG kama vinavyoonekana huku wanafunzi wakisubiri ndoo pamoja na kidumu vijae ndipo wengine waendelee..Je kwa hili kuna kupona kweli hapo?

Advertisements

One response to “KUTOKA UDOM: TATIZO LA MAJI LAENDELEA KUWATESA WANAFUNZI UDOM, WENGI WAJIKUTA WAKICHOTA MAJI KWENYE VYOO VYA CAFTERIA ZILIZOPO CHUONI HAPO.

  1. kwa hali hiyo hata kukuza maarifa hakuwezi kuwa na uahakika. Matatizo ni mengi mno hata namna ya kuyatatua haieleweki lakini siku zinakwenda.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s