KUTOKA UDOM: MAHAFALI YA PILI CHUO KIKUU CHA DODOMA YAFANYIKA LEO.

Baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Jiografia na Mazingira ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakisubiri kutunukiwa shahada zao.Picha Hapo Mbele ni Meza Kuu Ambapo Mgeni Rasmi Atakuwa hapo Mbele kama panavyoonekana.

Baadhi Ya Wahitimu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakisubiri Kutunukiwa Shahada zao. PICHA ZOTE NI KWA HISANI YA LUKAZA BLOG.

Advertisements