SAUT COMMUNITY DAY LEO, MAANDALIZI YAENDELEA ASUBUHI YA LEO.

Leo ni siku ya wanajumuiya ya Chuo cha Mtakatifu Agustino ambapo uongozi, vitivo pamoja na vikundi mbalimbali vya wanafunzi wa Chuo hicho wanafanya maonesho mbalimbali juu ya shughuli wanazozifanya chuoni hapo. Tukio hilo linafanyika siku moja kabla ya mahafali ya chuo hicho kufanyika hapo kesho kesho.

Mabanda mbalimbali ya vitivo na vikundi mbalimbali yatakayotumika katika maonesho hayo siku ya leo viwanja vya Raila Odinga.

Banda la kituo cha sheria likiwa kwenye maandalizi tayari kwa maonesho hayo.

Banda la AIESEC-SAUT likiwa kwenye maandalizi asubuhi ya leo tayari kwa maonesho.

Banda la Mass Communication upande wa Broadcast wakiwa tayari kurusha matangazo yao.

Banda la kitivo cha masomo ya Biashara katika maandalizi hayo.

Banda la Zahanati ya Chuo hicho nalo lipo katika kuonesha jinsi linavyotoa huduma zake kwa jumuiya ya SAUT.

Advertisements

One response to “SAUT COMMUNITY DAY LEO, MAANDALIZI YAENDELEA ASUBUHI YA LEO.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s