KUTOKA SAUT: BANKERS NIGHT PARTY YAFANA SIKU YA JANA NDANI YA UKUMBI WA MIDLAND HOTEL, MWANZA..

Wanafunzi waliojikita kwenye masomo ya kibenki katika Chuo cha Mtakatifu Agustino siku ya jana walifanya PARTY ya nguvu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Midland jijini mwanza, Sherehe hiyo ilikuwa ikienda sambamba na semina ya kubadilishina mawazo na uzoefu na wafanyakazi wa benki mbalimbali jijini mwanza.

Wanafunzi wa masomo ya biashara za kibenki kutoka SAUT, Mwanza wakimsikiliza kwa makini mtoa mada hayupo pichani, katika sherehe iliyojulikana kama Usiku wa watu wa Benki (SAUT BANKER'S NIGHT) usiku wa jana.

Muda wa msosi nao ukawaidia, ikawa ni kula, kunywa mpaka kusaza.

Baada ya msosi, ilikuwa ni kuruka na kucheza kisauzi mpaka tai legeza...we kuuuuuuti weeeee kuuuuuti mdaba naweeeeeeeeeeeeeeeee ndaba naweeeeeeeeeeeee..

Ebwana ndiooo...kila mtu na mmmhhuuu wake..

Future bankers wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kusheherekea pamoja katika Ukumbi wa Midland Hotel hapo jana.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s