KUTOKA SAUT: SHEREHE ZA MAHAFALI YA 13 ZINAENDELEA MUDA HUU KATIKA VIWANJA VYA RAILA ODINGA.

Wadau wakiwa tayari kwa kutunukiwa shahada zao mapema leo.

Ni siku ya furaha kwa kila mhitimu kwa siku ya leo SAUT..

MC wa sherehe hizo za leo Lulu Sanga akiwa kazini kwa kutoa utaratibu katika mahafali hayo.

  • Mwanafunzi bora wa mwaka huu, Joseph Masaba aliyevunja rekodi ya kwa kupata First Class ya 4.7 akipongezwa na mgeni Rasmi Mhashamu baba askofu Jude Thadaeus Ruwa’ichi Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Agustino katika mahafali hayo katika viwanja vya Raila Odinga.

Mwanafunzi aliyefanya vizuri kwa upande wa Masters Degree kwa kupata daraja la kwanza la 4.5, Mgisha H. Steven aliyekuwa akisoma shahada ya pili ya sheria akitoka kutoa heshima kwa mgeni rasmi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s