KUTOKA UDOM: RADI YASABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI.

Marehemu Charles Mfaume enzi za uhai wake...Alifariki jana jioni kwa kupigwa na radi... Marehemu Charles Mfaume alikua ni Mwanafunzi wa Mwaka wa Pili wa shahada ya kwanza ya biashara na utawala wa rasilimali watu. (BCOM HRM) katika chuo kikuu cha Dodoma.

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma walikusanyika kuuaga mwili wa marehemu Charles Mfaume jana mchana tayari kwa kuelekea jijini Dar es slaam kwa mazishi. Radi hiyo pia ilisababisha wanafunzi wengine wawili kulazwa katika zahanati ya Chuo hicho baada ya mwanafunzi wa kiume aliyefahamika kwa jina la Peter kuungua mguu na mwengine wa kike kuzirai na kulazwa katika zahanati hiyo.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s