MAHAFALI YA NANE CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA CHWAKA YAFANA SANA HAPO JANA.

Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki ya Tanzania Juma.H.J.Reli (kulia), akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Fedha Chwaka Profesa Ali Seif Mshimba wakiingia katika viwanja vya Mahafali Chwaka.

WAHITIMU wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka Zanzibar, wakiingia kwa maandamano katika viwanja vya sherehe za Mahafali Chuoni hapo.

Mgeni Rasmi wa sherehe za Mahafali ya Nane ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma.H.J.Reli, akitowa hotuba yake kwa Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Fedha Chwaka.

Mkuu wa Chuo cha Fedha Chwaka Kamal Kombo, akitowa maelezo ya Chuo hicho kwa mgeni rasmini, wakati wa Mahafali ya Nane ya Chuo hicho yaliofanyika katika Viwanja vya Chuo Chwaka, Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kati.

Wahitimu wa masomo ya Cheti wakitunukiwa vyeti vyao na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma.H.J.Reli.

Wahitimu wakiweka sawa kofia zao kuashirika kutunukiwa Shahada zao katika mahafali yao ya Chuo Chwaka.

Mhitimu Bora kwa Jumla Omar Mtumwa Omari, akipokea zawadi yake ya Shilingi 1,100,000. kwa kuwa mwanafunzi bora kwa kufanya vizuri zaidi kwa masomo ya Auditing and Assurance, Managment Accounting and Control.na kupata udhamini wa kusomeshwa kozi ya CPA kupitia Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka Zanzibar.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s