MAHAFALI YA 17 YA CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI WA NYARAKA (SLADS ) YAFANYIKA JUMAMOSI ILIYOPITA HUKO BAGAMOYO.

Wahitimu wa ngazi ya cheti wakisubiri kauli ya mgeni ya kuwatunuku vyeti.

Wahitimu wa ngazi ya cheti wakivaa kofia kuashiria kutunukiwa vyeti.

Wahitimu wa ngazi ya stashahada mara baada ya kutunukiwa vyeti.

Mgeni rasmi wa mafahali Mh. Philipo Mulugo naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi(wapili waliyokaa kutoka kushoto mwenye joho jekundu) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa chuo hicho mara baada ya kukamilisha shughuli ya kutunuku vyeti wahitimu wa ngazi ya stashahada na cheti kwa kozi ya ukutubi na uhifadhi wa nyaraka kwenye mahafali ya 17 iliyofanyika kwenye viwanja vya chuo hicho mjini bagamoyo jumamosi iliyopita ya tarehe 26.11.2011.Kushoto kwa mgeni rasmi ni mwenyekiti wa bodi wa chuo hicho Dkt. Ally Mcharazo,kulia mwa mgeni rasmi ni Mkuu wa chuo bw.Hermenegild Maganja na kulia kabisa ni bi.Happiness Steven Mkuu wa taaluma wa chuo hicho.Waliyosimama nyuma ni wafanyakazi wa chuo hicho(SLADS).

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s