MWANAFUNZI WA UDSM ASHINDA SHINDANO LA UMOJA WA MATAIFA (UNiTE) LA VITA DHIDI YA UKATILI KWA WANAWAKE.

Mwasapi Kihongosi na Ban Ki-moon. Nembo aliyoibuni ni hiyo inayoonekana kwenye fulana aliyoivaa.

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam  Mwasapi Kohongosi ameshinda shindano la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la UNiTE la kampeni ya kumaliza ukatili dhidi ya wanawake kwa kubuni T-shirt.

Mwasapi mwenye umri wa miaka 23 amesema anafuraha kubwa sana na ni suala ambalo hakulitegemea maishani ingawa amekwa akibuni michoro kwa muda mrefu.

Mwasapi amekabidhiwa tuzo yake rasmi na Katibu Mkuu Ban Ki-moon Jumatano November 23 kwenye makao maku ya Umoja wa Mataifa hapa New York katika hafla maalumu ya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kupinga katili dhidi ya wanawake.

Akizungumza na mwandishi wa Umoja wa Mataifa Stella Vuzo kabla ya kuondoka Dar es saslaam kwenda New York kupokea tuzo hiyo Mwasapi hakuusita kudhihirisha furaha yake.

Ujumbe wake ameuwasilisha vilivyo kwa Bank Ki-moon. Mwasapi ambaye ni mwanafunzi wa compter science kutoka chuo kikuu cha Dar es slaam ni miongoni mwa washindi wengine watano kutoka mabara yote duniani ikiwemo Uulaya, Asia, Amerika ya Kusini, Marekani, Australia na ushindi wake unaliwakilisha bara la Afrika.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s