TANZANIA FULL SCHOLARSHIP @ WESTMINSTER UNIVERSITY UK.

Ndugu zangu watanzania Chuo Kikuu cha Westminster kilichopo katika jiji la London, Uk, Kila mwaka kinatoa scholarship kwa watanzania kusoma degree ya kwanza na ya pili bure (unalipiwa tiketi ya ndege kwenda london na kurudi Tanzania, malazi, chakula ada yote na kila mwezi hela ya matumizi).

Tatizo ni habari tukipata hatupeani, mwisho nafasi kama hizi zinafutwa chuoni maana hamna wanaoziomba. Mimi nimefanikiwa kupitia rafiki yangu nami nimekuwa naitangaza na nitaendelea kuitangaza. Hii nafasi itasaidia kubadilisha maisha ya watanzania na maisha yao kiujumla. Link hiyo chini na inamaelezo yoote.

Deadline ni Mwakani mwezi April, so kama upo interested tumia muda huu kudownload form zao kuomba chuo, ukipata chuo, then unaomba scholarship, maelezo yapo kwenye website yao: www.westminster.ac.uk na link ni tanzania

Goodluck

Evelyn Kaijage

Advertisements

4 responses to “TANZANIA FULL SCHOLARSHIP @ WESTMINSTER UNIVERSITY UK.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s