KUTOKA SAUT: CHAMA CHA WANAFUNZI WANAOSOMA SHAHADA YA MAHUSIANO NA MASOKO (SSPRA) CHAFANYA SEMINA JUU YA MATUMIZI YA MITANDAO NA DESIGNING KWA WANACHAMA WAKE LEO.

Mkuu wa kamati ya Uhusiano wa vyombo vya habari na Publication Bw. Francy Moses akiwasilisha mada yake ya juu ya kutumia mtandao na kufanya design ya publication mbalimbali.

Mdau Kelvin Nyanja Poti katibu mkuu wa kamati ya mdeia relations and Publication ya SSPRA anaemiliki blog ya http://www.nyanjap.blogspot.com akitoa mada yake juu ya maswala mazima ya mitandao na matumizi yake katika tasnia ya watu wa Mahusiano ya jamii na Masoko.

Baadhi ya wanachama wa SSPRA wakisikiliza semina hiyo kwa makini.

Mdau Francy Moses (mwenye shati nyekundu) akirekebisha mambo mbele yake ni wanachama wa SSPRA katika semina hiyo.

 

Advertisements

One response to “KUTOKA SAUT: CHAMA CHA WANAFUNZI WANAOSOMA SHAHADA YA MAHUSIANO NA MASOKO (SSPRA) CHAFANYA SEMINA JUU YA MATUMIZI YA MITANDAO NA DESIGNING KWA WANACHAMA WAKE LEO.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s