KUTOKA SAUT: “Black ‘n’ White Party” YA WANAFUNZI WA MAWASILIANO YA UMMA YAFANA SANA; MWAKA WA TATU WAKACHA KUHUDHURIA.

Wanafunzi wa wa fani ya mawasiliano ya umama pamoja na uandishi wa habari katika chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino usiku wa kuamkia leo wamefanya sherehe yao ya pamoja iliyokwenda kwa jina la “Black ‘n’ White Party” katika ukumbi wa M10 uliyopo chuoni hapo.

Mgeni rasmi katika sherehe hiyo alikuwa ni mhadhiri Denis Mpagaze kutoka department ya Journalism and Mass Communication, akitoa hotuba yake fupi alianza kwa kunukuu maneno ya mwanafilosofia Socrete yaliyosema “Knowing is not Doing” akiwa na maana kwamba watu wanajua vitu vingi sana lakini tatizo lililokuwepo ni kutenda wanayoyajua hivyo aliwataka wanafunzi kutenda yale yote wanayoyajua kutokana na mafunzo wanayoyapata chuoni hapo.

“Ukitaka kujua maadili ya mtu basi subiria katika sherehe kama hizi jinsi watu wanavyovyaa na wanavyobehave” alisema na kuwaacha watu wote ukumbini wakicheka. Mwisho katika hotuba yake hiyo fupi Bw. Mpagaze alisema kuwa “kila kitu ni lazima kufanya kwa kiasi maishani mwako, kwani mtu asiyefanya kwa kiasi sio Common Person, COMMON PERSON ni neno lililoanzishwa na bwana Galiee Garileo akiwamaanisha watu wenye uwezo mdogo wa sana wa kufikiri”.

Ilikuwa ni kufungua kwa sala kwanza, Sr. Herieth alikuwa akiendesha sala hiyo ya kufungulia party hiyo.

Mgeni Rasmi Mhadhiri wa SAUT Denis Mpagaze akitoa nasaha zake kwa wanafunzi wa mawasiliano ya jamii na uandishi wa habari (hawapo pichani) katika sherehe hiyo.

Kisha Champlain zikafunguliwa na Bi. Nancy pamoja na Angela wakaanza kuzigawa kwa wageni waliohudhuria sherehe hizo.

Wasema Chochote katika sherehe hiyo Bi. Janeth na Emmanuel Didas wakiwajibika katika kutoa muongozo mzima wa sherehe hiyo.

Burudani zilikuwa za kutosha sana toka kwa wasanii mbalimbali katika Party hiyo.

Msanii anaejulikana kama Ibra Rymes akitoa burudani jukwaani.

Mdau Bertha kulia akiwa na Best friend yake wakiimba pamoja katika kutoa burudani kwenye sherehe hizo..ilikuwa ni moja bonge la show, vibe ndio show iliyoikubali..Good Job girls.

Michael Jackson wa SAUT nae alikuwepo katika kupiga styles zile za Wako Jako.

Cheerssss!!!! Kutoka meza kuu.

Ukumbi ulipendeza sana na watu nao walipendezesha sana ukumbi kutokana na wenyewe pia kupendeza.

Mziki ukafunguliwa, Mgeni rasmi Bw. Mpagaze akiyarudi na Sr. Mamba mhadhiri wa Somo la Kifaransa chuoni hapo.

Madama Tatu John, Mhadhiri wa chuo hicho katika department ya Journalism and Mass Communication akijaribu kuyarudi katika ile style ya Kisauzi huku masista nao wakiburudika.

Ilikuwa ni kwenda kushoto, kwenda kulia, rudi nyuma ....Kisauzi tu hapo..

Dah hapo hakuna majotrooo..ebana eee...

Advertisements

2 responses to “KUTOKA SAUT: “Black ‘n’ White Party” YA WANAFUNZI WA MAWASILIANO YA UMMA YAFANA SANA; MWAKA WA TATU WAKACHA KUHUDHURIA.

  1. Dogo unafanya kazi nzuri kazana. Katka speech yang COMMON PERSON ni neno lililoanzishwa na bwana Galiee Garileo akiwamaanisha watu wenye uwezo mdogo wa sana wa kufikiri

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s