KUTOKA ZANZIBAR: DK. SHEIN AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA SUZA TUNGUU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiangalia alama za mipaka ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA), alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.

Ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo ukiendelea.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, (wa pili kulia) akiangalia ramani ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA), alipofanya ziara maalum ya kuangalia ujenzi wa majengo ya chuo hicho pamoja na mipaka ya eneo hilo jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia mandhari ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA), alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,( kushoto) akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa ujenzi wa kampuni ya Masasi Construction Co. LTD Babubhai Ladwa, alipokuwa akiangalia ramani ya ujenzi wa majengo ya Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA), Tunguu alipotembelea jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Prof. Idrissa Ahmada Rai, pamoja na viongozi mbalimbali wakati alipotembela kuona maendeleo ya hatua za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA), alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanziar.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s