KUTOKA SEBASTIANI KOLOA TANGA: MAHAFALI YA PILI YAFANYIKA

Chuo Kikuu kishiriki cha Sebastiani Koloa (SEKUCo) kilichopo mkoani Tanga jumamosi iliyopita kimefanya mahafali yake ya pili toka Chuo hicho kuanzishwa ambapo jumla ya wahitimu 298 walitunukiwa shahada zao katika fani mbalimbali.

Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa ni waziri wa elimu Dk. Shukuru Kawambwa ambapo alitoa risala kwa wahitimu na wageni waliofika katika mahafali hayo. Baadhi ya wageni waalikwa wengine walikuwa ni Rev. Savera Bishanga kutoka UEM, Prof. J.W. Parsalaw kutoka Tumaini University Makumira, na mwenyekiti wa bodi ya SEKUCo Bishop Dr. Stephen Munga.

Maandamano ya wahitimu kuelekea katika ukumbi wa chuo hicho tayari kwa mhafali hayo ya pili ya chuo hicho.

  • Mgeni Rasmi katika mahafali hayo Mh. Dk. Shukuru Kawambwa akisalimiana na Viongozi wa Chuo hicho mara baada ya kuwasili katika mahafali hayo.

Mgeni rasmi katika mahafali hayo Dk. Shukuru Kawambwa akitoa risala yake kwa wahitimu na wageni walikuwepo katika mahafali hayo.

Ilikuwa ni furaha kwa wahitimu hayo wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani) katika mahafali hayo yaliyofanyika katika chuo hicho wilayani Lushoto mkoani Tanga.

Wahitimu wa shahada mbalimbali.

Picha ya pamoja kati ya wahitimu, mgeni rasmi, viongozi wa dini na viongozi wa chuo hicho mara baada ya kumaliza sherehe hizo za mahafali chuoni hapo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s