WANA UDOM CHAMBER WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA MIYUJI JANA.

Wanafunzi wa fani mbalimbali kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma ambao ni wanachama wa kikundi kinachojulikana kama UDOM CHAMBER jana wamefanya ziara ya kuwatembelea watoto yatima pamoja na kuwapelekea misaada ikiwa kama ni sehemu ya malengo ya chama hicho cha wanafunzi wa UDOM kutoa mchango wao katika kuisaidia jamii yenye mahitaji kwani kila mtu mwenye uwezo basi inapaswa kumsaidia yule asiyekuwa na uwezo. 
Chama hicho kilitemebelea kituo cha watoto yatima huko miyuni kwenye kijiji cha matumaini hapo jana ambapo licha ya kukaa na kuongea na watoto hao kiliweza kutoa msaada wa vyakula, sabuni pamoja na kufanya usafi katika bustani za kituo hicho. Hongereni wana UDOM CHAMBER kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuisaidia jamii yenye mahitaji.

 Baadhi ya zawadi Zilizopelekwa na wana Udom Chamber kwenye Kijiji cha Matumaini
 Bwana Mkalipa Amiri yeye aliamua kujishughulisha na umwagiliaji wa bustani katika kijiji cha Matumaini.
 Ally hajjy na Tutynho Taina wakimwagilia kwa pamoja….
 Diem Jeremia alishiriki katika umwagiliaji wa Bustani ndogondogo zinazipatikana kwenye kijiji hicho cha matumaini.
Huyu anaitwa Yohana……yeye anapenda kuwa dereva…….
Twin, Areman,Upendo na Salvatory kwenye picha ya pamoja
 Mwana Udom Chember Agatha Ndile akisaidiana na Mtoto kutengeneza mchicha……
Mwisho wa siku tulipata Picha ya Pamoja na watoto wa kijiji cha Matumaini…..Watoto wote ni wenye furaha kwa kweli…pongezi kwa walezi wao…(picha zote na Faddy Gaib Linga, Udom Chamber Blog)
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s