ATHARI ZA MVUA DAR: WATU 9 WA FAMILIA MOJA WAZAMA KWENYE MAJI.

Mvua zinazoendelea kunyesha zimeendelea kuleta maafa makubwa baada ya watu wapatao 9 wa familia moja eneo la mto wa Kigogo jijini Dar es Salaam pamoja na mtu mmoja ambaye alidhaniwa ni teja alifuta tairi la gari ambalo aliliona kwenye maji na kuzama mpaka sasa hali ni mbaya eneo hilo na kikosi cha kukabiliana na majanga kimekuwa kikiendelea kuwatafuta watu hao bila mafanikio. Mpaka sasa hali si hali katika maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam ambapo Mbezi Beach maeneo ya Bondeni daraja limevunjika upande na kusababisha magari kushindwa kuingia mjini.

 

Picha za hali halisi ya Dar es salaam kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha hivi toka jana usiku..

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s