BREAKING NEWS: AJALI MBAYA ILIYOHUSISHA WANAFUNZI WA SAUT YATOKEA BARABARA YA ARUSHA-MWANZA LEO ASUBUHI.

Marehemu Beatrice Kwacha enzi za Uhai wake.

BREAKING NEWS: Taarifa zilizotufikia AJALI mbaya imetokea leo asubuhi majira ya saa mbili asubuhi ikihusisha wanafunzi watano kutoka Chuo cha Mt. Augustino cha jijini Mwanza ambapo msichana pekee aliyekuwepo katika gari hilo kati ya watu watano anaeitwa Beatrice Kwacha amefariki hapohapo katika ajali hiyo iliyotokea eneo la Makuyuni katika barabara ya Arusha-Mwanza. 

Watu hao ambao wote ni wanafunzi wa SAUT ambao ni Alex Tarimo, Erick, Evance Mopao na Rowlings John walikuwa katika gari binafsi kutokea Arusha kwa mapumziko ya sikukuu walipata ajali hiyo baada ya Tairi la nyuma la gari hilo kupasuka wakati wakiwa katika mwendo mkali wanne ambao ni wanaume wamejeruhiwa vibaya na wapo hospitali mkoani Arusha. 

 
 Taarifa zaidi usikose kutembelea http://www.tzcampusvibe.wordpress.com kupata habari zaidi.


MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU BEATRICE MAHALA PEMA NA AWAPE NGUVU NA AFYA WALE WOTE WALIJERUHIWA.

Advertisements

6 responses to “BREAKING NEWS: AJALI MBAYA ILIYOHUSISHA WANAFUNZI WA SAUT YATOKEA BARABARA YA ARUSHA-MWANZA LEO ASUBUHI.

  1. polen sana wapendwa wanafunzi wa saut bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe aaaaaaaaaaaamen

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s